Nakupenda

I love you.

e.g.

Nakupenda sana.

en

I love so much.


By Jawanyo

July 24, 2019

Mihadarati

Drugs

e.g.

Vijana tuache mihadarati.

en

Youths you should stop taking drugs.


By Njambi

July 16, 2019

Sayari

Planet

e.g.

Dunia ni sayari tunapoishi.

en

Earth is the planet we live on.


By Smiley

October 6, 2019

Kaskazini

North

e.g.

Wanatoka kaskazini mwa Kenya.

en

They come from Northern Kenya.


By Smiley

October 3, 2019

Kiyoyozi

Air conditioner 

e.g.

Nyumba hii inahitaji kiyoyozi.

en

This house needs air conditioner.


By Smiley

October 1, 2019

Madafu

Coconut water.

dafu (coconut in the unripe stage, with much milk), dafu or maji ya majafu.

e.g.

Ananiosha mwili kwa maji ya madafu.

en

She bathes me using coconut milk.


By Mcheza Rafu

September 9, 2019

Tembea

Walk around/travel

e.g.

Tembea Kenya

en

Travel around Kenya


By Smiley

August 16, 2019

Thanks for the feedback.

Setting up an account is free! Please login to vote.