Cheza kama wewe
Kutia bidii kwa kitu chochote unachofanya
e.g.
Oukojnr kesho tunaenda kucheza ball na nitacheza kama mimi na wewe pia ucheze kama wewe
en
Giving out your best when doing something.
By Ouko Evone541836

Kalaamu
A pen
e.g.
Tumia ii kalaamu ina wino mudzo
en
Use this pen, it has good ink
By maureenkoech

Kare
Ago- long time in the past
e.g.
Osokire kare
en
She left a long time ago
By Bironga Nyauma

Tieko
Verb.
To destroy.
e.g.
Piny owacho biro tieko jonjore duto.
en
The government will destroy all gangs.
By RoscoeTONNY
